Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dr.Sospeter Mangwella, MD
24 Agosti 2026, 03:43:15
Ukubwa wa mimba ya miezi mitatu
Mimba ya miezi mitatu mara nyingi haionekani kwa macho ya kawaida kwa sababu mtoto tumboni bado ni mdogo sana. Kwa kawaida, mtoto akiwa na umri wa miezi mitatu huwa na urefu wa takriban sentimita 2.3, sawa na ukubwa wa zabibu, na uzito wake ni karibu gramu 2 tu.
Wapi utapata maelezo zaidi?
Pata maelezo zaidi kwa kuwasiliana na daktari wako au kutembelea makala ya mimba ya miezi mitatu.
Rejea za mada hii
Cunningham FG, Leveno KJ, Bloom SL, Spong CY, Dashe JS, Hoffman BL, et al. Williams Obstetrics. 25th ed. New York: McGraw-Hill Education; 2018.
Moore KL, Persaud TVN, Torchia MG. The Developing Human: Clinically Oriented Embryology. 11th ed. Philadelphia: Elsevier; 2019.
American College of Obstetricians and Gynecologists (ACOG). Early pregnancy loss. Practice Bulletin No. 200. Obstet Gynecol. 2018;132(5):e197–207.
Sadler TW. Langman’s Medical Embryology. 14th ed. Philadelphia: Wolters Kluwer; 2019.
Mayo Clinic Staff. Pregnancy: First trimester overview. Mayo Clinic. 2023. Available from: https://www.mayoclinic.org/healthy-lifestyle/pregnancy-week-by-week/in-depth/pregnancy/art-20046040. Accessed 2025 Jun 15.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 17:08:28
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
​
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:

