Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Mangwella S, MD
31 Oktoba 2026, 15:23:37

Uwezekano wa kushika Mimba kwenye hedhi: Mzunguko wa siku 24
Jibu kwa ufupi
Jibu kwa ufupi: Mzunguko wa siku 24 – siku 5 hadi 10 ni hatari; siku za mwisho za hedhi huweza kuwa ndani. Hutaki mimba – kondomu au njia ya kisasa; P2 ndani ya saa 72 ukiwa na wasiwasi. Soma Mzunguko mfupi wa hedhi.
Maelezo
Siku kwa siku
Siku 1–3 – hatari ndogo.
Siku 4 – hatari ndogo lakini inaongezeka.
Siku 5–7 – hatari ipo (mara nyingi mwisho wa hedhi).
Siku 8–10 – hatari kubwa zaidi.
Siku 11–24 – hatari ndogo, kama mzunguko ni wa kawaida.
Kinachoongeza hatari
Hedhi ya siku 6–7.
Ovuleshaji wa mapema mwezi huo.
Damu ya ovuleshaji kudhaniwa kuwa hedhi.
Nini cha kufanya
Andika mizunguko 3–6.
Kalenda si salama kwa mzunguko mfupi.
Unatafuta mimba – siku 5–10 ni bora.
Mzunguko wa siku 22 – soma Mzunguko wa siku 22.
Dalili za hatari
Maumivu makali upande mmoja na hedhi kuchelewa – hospitali mara moja.
Lini umwone daktari
Mzunguko chini ya siku 24 mara kwa mara.
Hedhi imechelewa zaidi ya siku 7 – pima mimba.
Soma Dalili za siku za hatari.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
1. Mzunguko wa siku 24 ni wa kawaida?
Ndiyo, ni ndani ya kiwango, ingawa mfupi.
2. Yai hutoka siku gani?
Karibu siku ya 10.
3. Siku za hatari ni zipi?
Siku 5 hadi 10.
4. Naweza kupata mimba wakati wa hedhi?
Ndiyo, hasa siku za mwisho.
5. Kuna siku salama?
Hakuna za kutegemea.
6. Mzunguko mfupi unamaanisha ugumba?
Hapana kwa kawaida.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 19:07:15
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:
Wilcox AJ, Dunson D, Baird DD. The timing of the 'fertile window' in the menstrual cycle. BMJ. 2000;321(7271):1259–62.
Bull JR, et al. Real-world menstrual cycle characteristics of more than 600,000 menstrual cycles. NPJ Digit Med. 2019;2:83.
Munro MG, Critchley HOD, Fraser IS. The two FIGO systems for normal and abnormal uterine bleeding symptoms: 2018 revisions. Int J Gynaecol Obstet. 2018;143(3):393–408.

