top of page

Afya ya Mtoto

Mtoto wa mwaka 1 hadi 2

Ukuaji wa Mtoto wa mwaka 1 hadi 2

Kwenye kipindi hiki mtoto anakuwa na tabia ya ubishi na asiyesikia mtu, hujitambua kwenye picha na kioo pia huiga tabia za watu wazima au watoto waliomzidi umri.

Ukuaji wa kawada wa mtoto

Ukuaji wa kawaida wa mtoto

Mtoto hupoteza asilimia 5 hadi 10 ya uzito wake wiki la kwanza baada ya kuzaliwa na baadae uzito huo hujirudia ndani ya wiki mbili.

Lishe ya mtoto

Lishe ya mtoto

Wazazi wengi wanaweza kuandaa lishe ya watoto, lakini changamoto iliyopo ni kwamba hawajui wanatakiwa wawe na vitu gani vya msingi na kwa kiasi gani mchanganyiko unaotakiwa uwe.

Chanjo za watoto

Chanjo za watoto

Chanjo za watoto hutolewa katika vipindi mbalimbali mtoto anapozaliwa.chanjo hizi hutolewa kwa malemgo ya kumkinga mtoto na magonjwa mbalimbali yanayoweza kutisia uhai Wa mtoto.

Hatua za ukuaji wa mtoto

Hatua za ukuaji wa mtoto

Mtoto hukua katika nyanja za kimota, kijamii, ufahamu, hisia na lugha mfano kukaza shingo, kutambua sura ya mzazi, kushangaa, kushika maagizo na kutamka maneno.

bottom of page