top of page
Imeandikwa na madaktari wa uly clinic
​
Kuuma kwa chuchu huweza kuashiria dalili ya kuwa na maambukizi au sababu zingine zinazaosababisha chuchu kuuma
dalili za maambukizi zinaweza kuwa hizi zifuatazo
​
-
Ziwa kuuma endapo litashikwa
-
kujisikia kuumwa mwili
-
kuvimba kwa ziwa
-
maumivu ama kuhisi moto kama ziwa likishikwa
-
ngozi ya chuchu kuwa nyekundu haswa kwa watu weupe
-
homa joto kupanda zaidi ya 38.3C
-
​
Imechapishwa 3/12/2015
Imeboreshwa 5/11/2018
bottom of page