top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

​

Dawa za kutibu maambukizi ya fangasi

​

Dawa za kutibu maambukizi ya fangasi huitwa antifango, zipo aina nyingi za dawa za antifango, dawa hizi hufanya kazi kwa kuua fangasi au kuzuia uzalianaji katika mwili wa binadamu. Kuna baadhi ya dawa zinaweza  kutumika kama dozi moja tu na zingine hutumika kwa muda mrefu ikitegemea hali ya mgonjwa na aina ya ugonjwa unaotibiwa.

 

Zipo dawa ambazo ni nzuri kwa watoto wadogo tu na watu wazima.

Bonyeza dawa unayoitaka kusoma maelekezo yake zaidi 

​​​

​

ULY Clinic inakukumbusha siku zote, matumizi ya dawa pasipo ushauri wa mtaalamu wa afya(daktari wako ) yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyote ile ili upate kwa dozi sahihi kulingana na tatizo ulilonalo.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba, pamoja na kuandikiwa dawa kwa kubonyeza Pata Tiba au piga namba za simu chini ya tovuti hii.

bottom of page