top of page
Dalili
Imeandikwa na madaktari wa ulyclinic
Dalili za dimenshia hutegemea sehemu ya ubongo iliyoathiriwa lakini kwa ujumla hujumuisha daily zifuatazo
-
Kukosa kumbukumbu za maisha ya kila siku
-
Kushindwa kuwa makini au kuzingatia mambo
-
Kushindwa kupanga mipango ya kila siku
-
Kushindwa kuongea vema(kutamka maneno) na kuona vitu vema
-
Kubadilika kwa (hali)hisia za mtu
Dalili zingine kulingana na eneo la ubongo lililoathiriwa ni kama hapa chini. tafadhari bonyeza link mojawapo ikupeleke kwenye ukurasa wa dalili hizo
-
Sehemu ya mbele ya ubongo
-
Sehemu ya nyuma ya ubongo
-
Upande wa kulia kwa ubongo
-
Upande wa kushoto wa ubongo
imechapishwa 24/10/2016
imeboreshwa 24/10/2018
bottom of page