top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

26 Februari 2021 14:01:14

Uono hafifu wa macho

Uono hafifu wa macho

Ni hali ya macho kupoteza nguvu ya kuona au ukosefu wa uwezo wa macho kuona vitu vema inavyoviangalia, hii inapelekea kushindwa kuona vema taarifa za kitu kinachoangaliwa na wengine huita 'kuona ukungu;.


Hali hii ya macho kuwa na uono hafifu inayopelekea macho kushindwa kuona vitu vilivo karibu au vilivo mbali, inaweza kuboreshwa kwa kutumia miwani ya lenzi za kurekebisha macho.


Visbabishi


  • Kuvilia kwa damu ndani ya jicho

  • Matumizi miwani yenye lenzi bila kuwa na tataizo la macho

  • Ugonjwa unaosababisha jicho jekundu

  • Kufikicha macho kila wakati

  • Madhara baada ya upasuaji wa macho

  • Hitilafu zinazo badili mwelekeo wa mwanga wa macho

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

Imeboreshwa,

7 Februari 2022 19:35:12

Rejea za mada hii

1. Tufte, E. R. (1997). Visual and statistical thinking: Displays of evidence for making decisions. Cheshire, CT: Graphics Press.

2. Rang, H.P. (2003). Pharmacology. Edinburgh: Churchill Livingstone. p. 147. ISBN 0443071454

3. John F., Salmon (2020). "Lens". Kanski's clinical ophthalmology : a systematic approach (9th ed.). Edinburgh: Elsevier. ISBN 978-0-7020-7713-5. OCLC 1131846767.

bottom of page