Imeandikwa na ULY CLINIC
26 Februari 2021 14:42:47
Vidonda ukeni
Kuwa na vidonda kwenye mashavu ya uke inaweza kuwa dalili ya hali au maradhi fulani ikijumuisha, magonjwa ya zinaa, uchokozi kwenye ngozi, magonjwa ya ngozi, shambulio la fangasi sehemu za siri, au kuwa na uke mdogo.
Visababishi
Kuwa na uke mdogo
Magonjwa ya zinaa
Saratani
Kushambuliwa na Fangasi sehemu za siri
Athari ya magonjwa ya ngozi
Mzio wa ngozi
Mambukizi ya bakteria
Matumizi ya dawa za antibayotiki ambazo huuwa bakteria walizi wa uke
Kufunya mapenzi
Majeraha sehemu za siri
Matatizo ya homoni kubadilika
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia namba za simu au kwa kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii
Imeboreshwa,
7 Februari 2022 19:33:12
Rejea za mada hii
1.American Cancer Society. Cancer Facts and Figures 2020. Atlanta, Ga: American Cancer Society; 2020.
2.Marren P, Wojnarowska F, Venning V, et al. Vulvar involvement in autoimmune bullous diseases. J Reprod Med 1993; 38:101.
3.Dalrymple JL, Russell AH, Lee SW, et al. Chemoradiation for primary invasive squamous carcinoma of the vagina. Int J Gynecol Cancer. 2004;14(1):110-117.