Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
ULY CLINIC

6 Aprili 2026, 12:15:58
Edema ya ghafla ya mapafu
Dalili za edema ya mapafu ni zipi?
Katika edema ya mapafu ya ghafla, mgonjwa huonyesha matumizi makubwa ya misuli ya ziada kwa kupumua, pamoja na kupumua kwa shida, kupumua haraka, na kutoweza kulala bila kuinua kichwa.
Dalili na ishara zinazohusiana ni:
Sauti za mpasuko mapafuni (krepitation krako) na miruzi,
Kikohozi chenye makohozi ya rangi ya waridi na yenye povu,
Kutotulia na wasiwasi,
Mapigo ya moyo haraka na sauti ya moyo ya ziada (sauti ya Galop kwenye ventriko),
Ngozi baridi, yenye unyevunyevu, na rangi ya bluu kwenye ngozi kutokana na ukosefu wa oksijeni
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 15:59:23
Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini
​
[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]
Rejea za mada
ULY CLINIC
