Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
ULY CLINIC

6 Aprili 2026, 12:17:15
Kutanuka kwa ulimi
Kupanuka kwa ulimi au kuongezeka kwa ulimu kunaweza kusababisha ugumu katika kuongea, kula, kumeza na kulala.
Visababishi
Kuharibika kwa mishipa ya limfu. Kuharibika mishipa inayobeba lymph hupelekea ulimi kupata uvimbe kutokana na kujaa maji haya yenye chembe za ulinzi kwa jina la lymph
Mkusanyiko wa protini zisizo za kawaida katika tishu ambazo huzuia kazi ya kawaida ya ulimi. Hii inaweza kuwa sababu mojawapo inayosababishaulimi kuwa mkubwa. Mfano wa protini ni inayoweza kukusanyika kwenye tishu za ulimi ni amyloid, ambayo huupa ulimi muonekano wa kuwa na nundu
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 15:59:23
Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini
​
[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]
Rejea za mada
1. NIH. Macroglosia. https://rarediseases.info.nih.gov/diseases/3342/macroglossia/diseasesconditions/amyloidosis/multimedia/enlarged-tongue/img-20008056. Imechukuliwa 26.02.2021
2.NIH. Macroglossia. https://rarediseases.info.nih.gov/diseases/3342/macroglossia. Imechukuliwa 26.02.2021
