Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dkt. Thomas N, CO
Dkt. Lugonda B, MD
20 Agosti 2026, 05:09:52

Kuwashwa nywele
Kuwashwa nywele ni dalili inayoweza kusababishwa na sababu za kawaida au zile zilizo magonjwa.
Dalili hii inaweza kutokea kwenye sehemu moja ya mwili au kusambaa mwili mzima. Ili kufahamu Zaidi kuhusu visababishi kwako, unapaswa kuingia kwenye ugonjwa husika.
Â
Baadhi ya visababishi vya kawaida na visivyo vya kawaida vya kuwashwa nywele kuwasha ni Pamoja na;
Â
Mba kichwani
Mzio kwenye vipodozi
Homa ya hivu
Chawa kichwani
Skebizi
Fangasi kichwani
Soriasis ya kichwani
Pumu ya Ngozi
Kuota kwa nywele
Soma ugonjwa husika moja kwa moja kwenye tovuti ili kuelewa kila unavyootokea na matibabu yake kwa ujumla.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Imeandikwa:
20 Juni 2023, 21:38:46
Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini
​
[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]
Rejea za mada hii:
Ständer S, Weisshaar E, Mettang T, et al. Clinical classification of itch: a position paper of the International Forum for the Study of Itch. Acta Derm Venereol. 2007;87(4):291-294. doi:10.2340/00015555-0305.
Twycross R, Greaves MW, Handwerker H, et al. Itch: scratching more than the surface. QJM. 2003;96(1):7-26. doi:10.1093/qjmed/hcg002.
Bernhard JD. The itchy scalp and other pruritic curiosities. Semin Cutan Med Surg. 1995;14(4):326-329.
Lombillo VA, Sybert VP. Mosaicism in cutaneous pigmentation. Curr Opin Pediatr. 2005;17(4):494-500. doi:10.1097/01.mop.0000171319.84053.45.
Reich A, Medrek K, Adamski Z, Szepietowski JC. Itchy hair - trichoknesis: a variant of trichodynia or a new entity? Acta Derm Venereol. 2013;93(5):591. doi:10.2340/00015555-1543.
Weisshaar E, Dalgard F. Epidemiology of itch: adding to the burden of skin morbidity. Acta Derm Venereol. 2009;89(4):339-350. doi:10.2340/00015555-0662.
Hoss D, Segal S. Scalp dysesthesia. JAMA Dermatol. 1998;134(3):327-330. doi:10.1001/archderm.134.3.327.
Goon ATJ, Yosipovitch G, Chan YH, Goh CL. Clinical characteristics of generalized idiopathic pruritus in patients from a tertiary referral center in Singapore. Int J Dermatol. 2007;46(10):1023-1026. doi:10.1111/j.1365-4632.2007.03152.x.
