top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

ULY CLINIC

Majeraha ya uti wa mgongo
shahawa-zenye-damu-ulyclinic-compressor.

6 Aprili 2026, 12:15:40

Majeraha ya uti wa mgongo

Dalili za majeraha ya Uti wa Mgongo ni zipi?


Matumizi ya misuli ya ziada kwa kupumua hutegemea eneo na ukali wa jeraha. Jeraha chini ya L1 kwa kawaida haliathiri diaframu wala misuli ya ziada, lakini jeraha kati ya C3 na C5 huathiri misuli ya juu ya upumuaji na diaframu, na kusababisha matumizi makubwa ya misuli ya ziada kwa kupumua.


Dalili na ishara zinazohusiana na majeraha ya uti wa mgongo ni:

  • Kuwa na rifleksi Babinski’s moja kwa moja au pande zote mbili,

  • Reflexi za tendoni andani zenye nguvu kupita kiasi,

  • Kukaza kwa misuli isivyo kawaida,

  • Kupoteza hisia za maumivu, joto, mkao wa mwili, au uwezo wa kutembea kwa viwango tofauti,

  • Sindramu Horner’s , ambayo inaweza kutokea kwa majeraha ya sehemu ya chini ya uti wa mgongo wa seviksi, na husababisha:

    • Kuanguka kwa kope moja,

    • Kupungua kwa kipenyo cha mboni ya jicho,

    • Kutotokwa na jasho usoni upande ulioathirika.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 15:59:23

Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini

[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]

Rejea za mada

ULY CLINIC

bottom of page