top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

ULY CLINIC

Selimundu kali
shahawa-zenye-damu-ulyclinic-compressor.

6 Aprili 2026, 12:22:47

Selimundu kali

Dalili za seli mundu kali ni zipi?


Hali hii husababisha maumivu makali ya ghafla kwenye tumbo, kifua, mgongo, mikono, au miguu. Dalili nyingine ni udhaifu, maumivu ya viungo, kupumua kwa shida, na manjano kwenye macho.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 15:59:23

Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini

​

[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]

Rejea za mada

ULY CLINIC

bottom of page