Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
ULY CLINIC
6 Aprili 2026, 12:21:35
Uono hafifu wa macho
Ni hali ya macho kupoteza nguvu ya kuona au ukosefu wa uwezo wa macho kuona vitu vema inavyoviangalia, hii inapelekea kushindwa kuona vema taarifa za kitu kinachoangaliwa na wengine huita 'kuona ukungu;.
Hali hii ya macho kuwa na uono hafifu inayopelekea macho kushindwa kuona vitu vilivo karibu au vilivo mbali, inaweza kuboreshwa kwa kutumia miwani ya lenzi za kurekebisha macho.
Visbabishi
Kuvilia kwa damu ndani ya jicho
Matumizi miwani yenye lenzi bila kuwa na tataizo la macho
Ugonjwa unaosababisha jicho jekundu
Kufikicha macho kila wakati
Madhara baada ya upasuaji wa macho
Hitilafu zinazo badili mwelekeo wa mwanga wa macho
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 15:59:23
Soma dalili zingine Zaidi kwa kubonyeza herufi ya mwanzo hapa chini
​
[A] [B] [C] [D] [E] [F] [G] [H] [I] [J] [K] [L] [M] [N] [O] [P] [Q] [R] [S] [T] [U] [V] [W] [X] [Y] [Z] [Z] [#]
Rejea za mada
1. Tufte, E. R. (1997). Visual and statistical thinking: Displays of evidence for making decisions. Cheshire, CT: Graphics Press.
2. Rang, H.P. (2003). Pharmacology. Edinburgh: Churchill Livingstone. p. 147. ISBN 0443071454
3. John F., Salmon (2020). "Lens". Kanski's clinical ophthalmology : a systematic approach (9th ed.). Edinburgh: Elsevier. ISBN 978-0-7020-7713-5. OCLC 1131846767.
