top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Mkojo kutoka wenyewe

Mkojo kutoka wenyewe

Kushindwa kuzuia mkojo, kwa jina jingine pia la 'mkojo kutoka wenywe' ni dalili inayotokea endapo mkojo unatoka wenyewe bila taarifa.

Ishara ya macho ya mdori

Ishara ya macho ya mdori

Ishara hii hutabulika endapo mtu akigeuzwa kichwa kuelekea kushoto au kulia, macho yake hayatafuata uelekeo wa kichwa na hivyo yatakuwa yameangalia pembeni.

Prostaitisi Kali

Prostaitisi Kali

Prostaitiz kali ni michomo kwenye tezi dume inayotokea kama matokeo ya shambulio la mfumo wa kinga kwenye vimelea walio kwenye tezi na huambatana na dalili kali za ghafla.

Akromegali

Akromegali

Ni hali inayosababishwa na ongezeko la homoni ya ukuaji, ikisababisha dalili kama mikono, miguu, na sura kubwa, pamoja na kuongezeka kwa uzito, maumivu ya viungo, na uchovu. Pia inaweza kusababisha kupanda kwa jasho, ngozi ya mafuta, na mabadiliko ya sauti na ukuaji wa nywele.

Uvimbe wa tumbo kwa wanawake

Uvimbe wa tumbo kwa wanawake

Unaweza kuwa wa muda mfupi au wa muda mrefu kulingana na chanzo chake. Ikiwa una dalili zinazoendelea au zinazotia wasiwasi, ni muhimu kumwona daktari kwa uchunguzi wa kina na matibabu sahihi.

bottom of page