top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Vidonda ukeni

Vidonda ukeni

Kuwa na vidonda kwenye mashavu ya uke inaweza kuwa dalili ya hali au maradhi fulani ikijumuisha, magonjwa ya zinaa, uchokozi kwenye ngozi, magonjwa ya ngozi, shambulio la fangasi sehemu za siri, au kuwa na uke mdogo.

Kuvimba kwa ulimi

Kuvimba kwa ulimi

Kuvimba kwa ulimi huweza kuwa dalili ya michomo ya kinga kwenye ulimi kwa lugha ya kitiba glosaitiz.

Matatizo ya kutokwa na damu ukeni

Matatizo ya kutokwa na damu ukeni

Madhaifu ya kutokwa na damu ukeni ni hali ya kutokwa na damu ukeni pasipo na mpangilio au kutohusiana na mzunguko wa hedhi.

Kona ya mbavu na mgongo

Kona ya mbavu na mgongo

NI eneo la mgongo lilipo kati ya mwisho wa mbavu za chini na uti wa mgongo (katika upande wa figo). Mguso chungu katika eneo hili ni ishara muhimu ya maambukizi ya figo kama pyelonephritis.

Uono wa shimoni

Uono wa shimoni

Uono wa shimoni ni upotevu wa uwezo wa macho kuona vitu vya pembeni na kusalia na uwezo wa kuona vitu vya kati tu.

bottom of page