top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Harufu mbaya ukeni: Mwongozo kamili kwa Wanawake

Harufu mbaya ukeni: Mwongozo kamili kwa Wanawake

Harufu mbaya ukeni ni tatizo la kawaida linaloweza kusababishwa na mabadiliko ya bakteria, hedhi, au maambukizi. Kudumisha usafi, lishe bora, na kuonana na daktari ni njia muhimu za kudhibiti na kuzuia madhara.

Dalili za UKIMWI

Dalili za UKIMWI

UKIMWI ni hatua ya mwisho ya maambukizi ya VVU, hujitokeza baada ya kinga ya mwili kushuka. Dalili huanzia za mafua hadi kushambuliwa na magonjwa sugu kama nimonia, fangasi, na kupungua uzito.

Kutokwa majimaji meupe bila maumivu uumeni

Kutokwa majimaji meupe bila maumivu uumeni

Kutokwa na majimaji meupe bila maumivu kunaweza kuwa dalili ya maambukizi ya zinaa kama klamidia au uvimbe homa wa mrija wa kutoa mkojo usiyo sababishwa na gono. Uchunguzi wa kitaalamu na matibabu ya haraka ni muhimu ili kuepuka madhara zaidi.

Dalili za gono kwa mwanamke

Dalili za gono kwa mwanamke

Ni wanawake wachache (≈ 20–50 %) wanaopata gono huonyesha dalili, ambazo hujumuisha ute/usahu ukeni wenye harufu au rangi isiyo kawaida na maumivu wakati wa tendo la ndoa.  Gono hutibiwa kwa antibiotiki mseto; daima pata uchunguzi na ushauri wa daktari kabla ya kuanza tiba yoyote.

Maumivu katikati ya kifua

Maumivu katikati ya kifua

Maumivu katikati ya kifua yanaweza kuwa dalili ya tatizo dogo au la hatari kubwa. Ni muhimu kutosahau kuwa si kila maumivu ni kutokana na moyo kukosa oksijeni, lakini kutopuuza dalili ni hatua ya busara. Kupata uchunguzi sahihi mapema kunaweza kuokoa maisha.

bottom of page