top of page

Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali

Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Obeziti

Obeziti

Obeziti(obezity) ni ugonjwa unaohusisha kuwa na kiwango kikubwa cha fati mwilini. Ugonjwa huu si tu unaathiri mwonekano wa mtu, bali huongeza hatari ya kupata magojnwa mwilini kama vile magonjwa a moyo, kisukari, shinikizo la juu la damu na saratani aina Fulani.

Dalili za Maleria kali

Dalili za Maleria kali

Maleria ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi ya kimelea cha protozoa aitwaye plasmodium falciparum, mtu hupata maambukizi ya kimelea huyu kwa kung'atwa na mbu jike aitwaye anoferesi na njia zingine

Dalili za mimba kuharibika

Dalili za mimba kuharibika

Miskerieji ni kutoka au kuharibika kwa mimba kabla ya wiki 20 za ujauzito, mimba hii hutoka yenyewe bila kuwa na uchokozi wowote. Kwa Tanzania mimba ikitoka kabla ya kufikisha wiki 28 za ujauzito huitwa miskerieji.

Dalili za magonjwa ya figo

Dalili za magonjwa ya figo

Magonjwa ya figo ni mjumuiko wa magonjwa yote yanayoathiri utendaji kazi wa figo. Baadhi ya magonjwa ya figo huweza kwenda mpaka miezi mitatu bila kuleta dalili za kushitukiza kuwa mtu ana tatizo la figo ila mtu huwa na upungufu wa ufanyaji kazi wa figo

Dalili za ugonjwa wa ini

Dalili za ugonjwa wa ini

Ini ni ogani muhimu ndani ya mwili wa binadamu, hupatikana sehemu ya juu kulia ya tumbo. Ini pia huwa chini ya ukuta wa dayaframu na juu ya tumbo, figo ya kulia, na utumbo.

bottom of page