top of page
Dalili na viashiria vya magonjwa mbalimbali
Unashauriwa kufuata ushauri wa daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma makala. Bofya picha au neno soma zaidi ili kuingia kwenye makala kwa undani.

Dalili za UTI kwa watu wazima
Dalili za UTI zinaweza kuanza kwa kuungua wakati wa kukojoa na kukojoa mara kwa mara, lakini zikipuuzwa zinaweza kusababisha maambukizi ya figo ambayo ni hatari zaidi. Kutambua mapema dalili za UTI kali kama homa, maumivu ya ubavuni mwa mgongo na kutapika ni muhimu ili kuzuia madhara makubwa na kulinda afya ya figo.
bottom of page




