top of page

Dawa 02

Mhariri:

Zaha 500mg

Zaha ni antibiotic inayotumika kutibu aina mbalimbali za maambukizi ya bakteria wanaodhuriwa na dawa hii kwenye mfumo wa upumuaji, sikio, pua, koo, mapafu, ngozi na macho kwa watu wazima na watoto.

bottom of page