top of page

Dawa za mfumo wa Genito- Yurinar

​

Dawa za mfumo wa Genitoyurinari ni dawa zinazolenga matibabu ya mfumo wa Uzazi na Mkojo; Bonyeza kusoma zaidi kuhusu dawa katika kila mfumo.

​

1. Madhaifu ya kibofu na njia za mkojo

​

   1. 1 Kukojoa sana, kujikojolea usiku na mkojo kutoka wenyewe

   1. 2 Kubakisha mkojo kwenye kibofu

   1. 3 Maumivu ya njia za mkojo

​

2. Dawa za kusafisha kibofu na upasuaji wa njia ya mkojo

​

3. Dawa za uzazi wa mpango

​

    3.1 Dawa mchanganyiko

    3.2 Dawa na vipandikizi

    3.3 Dawa za kuzuia mimba baada ya tendo

    3.4 Dawa uzazi wa mpango aina ya progestogen tu

    3.5 Dawa ya uzazi wa mpango ya mishipa ya progestogen tu kwa ajili

    3.6 Dawa za kuzia mimba kwa kuua manii

​

4. Madhaifu ya kusimamisha uume na uzalishaji wa manii

​

    4.1 Kutosimamisha uume

    4.2 Kukojoa mapema wakati wa tendo

​

5. Uzazi

​

    5.1 Kuanzisha uchungu

    5.2 Postipatamu hemoreji

    5.3 Premachua leba

    5.4 Kuondoa ujauzito

    5.5 Madhaifu ya uke na vulva

 

6.Maambukizi ya bakteria kwenye uke na vulva

 

    6.1 Maambukizi ya fangasi kwenye uke na vulva

    6.2 Kusinyaa kwa uke

​

7. Maambukizi mfumo wa mkojo

​

ULY clinic inakushauri usitumie dawa yoyote ile bila ushauri wa daktari

​

Walisilina na daktari wa ULY clinic kwa tiba na ushauri kwa kubonyeza Pata tiba au kupiga namba za simu chini ya tovuti hii.

bottom of page