top of page
Ugonjwa na dawa
Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa ya kutibu maambukizi ya chlamydia
Dawa za kutibu maambukizi ya Klamidia hutumika kama mchanganyiko wa dawa zaidi ya moja. Ili kufahamu mchanganyiko unaokufaa ni vema ukawasiliana na daktari wako. Kumbuka pia kwa sababu klamidia ni ugonjwa wa zinaa, zinapaswa kutumia na mtu na mpenzi wake anayeshiriki naye ngono. Endapo una wapenzi wengi, wote wanabidi kutumia dawa hizo au kuacha kushiriki nao ngono kwa sababu ya kuepuka maambukizi mapya.
bottom of page




