top of page

Ugonjwa na dawa

Kurasa hii utajifunza kuhusu dawa na ugonjwa unaotibiwa na dawa hiyo. Wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyotee ile ili kuepuka madhara na usugu wa dawa mwilini mwako. Kumbuka siku zote kuwa dawa ni sumu kwenye mwili wako endapo haitatumika bila ushauri wa daktari

Dawa za fangasi wa ulimi

Dawa za fangasi wa ulimi

Matibabu ya fangasi wa mdomoni na kwenye ulimi huhusisha matumizi ya dawa za kuua fangasi zinazoitwa antifangus. Uchaguzi wa dawa hutegemea aina ya fangasi na mwitikio wake kwenye dawa.

Dawa za vibarango

Dawa za vibarango

Vibarango kichwani husababishwa na mambukizi ya fangas, ugonjwa huo huitwa kwa jina la tinea capitis. Matibabu ya vibarango kichwani yanaweza kufanyika kwa kutumia dawa za kupaka au kumeza.

Dawa za maumivu ya kichwa

Dawa za maumivu ya kichwa

Dawa hizi hupunguza dalili tu ya maumivu ya kichwa yanayoweza kusababishwa na maradhi mbaimbali yaliyo hatari au la.

Dawa za nimonia

Dawa za nimonia

Nimonia inaweza kusababishwa na maambukizi ya bakteria, fungasi, na protozoa. Dawa za kutibu nimonia hutegemea kisababishi.

Dawa za maambukizi masikioni-watoto

Dawa za maambukizi masikioni-watoto

Dawa za kutibu maambukizi masikioni katika makala hii zimemaanisha dawa zinazotibu maambukizi yaliyosabaishwa na bakteria.

bottom of page