Imeandikwa na ULY CLINIC
Dawa za kutibu fangasi kwenye mdomo na ulimi
​
Matibabu ya fangasi wa mdomoni na kwenye ulimi huhusisha matumizi ya dawa za kuua fangasi zinazoitwa antifangus kwa muda wa siku 7 hadi 14. Dawa zinazoweza kutumika ni;
​
Maambukizi sugu au makali huhitaji matumizi ya dawa kwa njia ya sindano. Endapo huponi fangasi baada ya kutumia dawa, unaweza kuhitaji kubadilishiwa dawa.
​
Kumbuka:
​
-
Dawa zilizoorodheshwa hapo juu hutumika kwa kuandikiwa na daktari tu
-
Matumizi ya dawa pasipo kuandikiwa na daktari hupelekea usugu wa kimelea dhidi ya dawa hiyo
-
Vimelea vikitengeneza usugu kwenye dawa, dawa hiyo haitafaa kamwe kwenye mwili wako kwa matibabu
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale baada ya kusoma makala hii
​
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri zaidi na Tiba kwa kubonyeza ‘Pata tiba’ au piga namba za simu chini ya tovuti hii.
​
​
Rejea za mada hii;
​
-
Candida infections of the mouth, throat, and esophagus. https://www.cdc.gov/fungal/diseases/candidiasis/thrush/index.html. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Candidiasis (mucocutaneous). Merck Manual Professional Version. http://www.merckmanuals.com/en-pr/professional/dermatologic-disorders/fungal-skin-infections/candidiasis-mucocutaneous. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Kauffman CA. Clinical manifestations of oropharyngeal and esophageal candidiasis. https://www.uptodate.com/home. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Kauffman CA. Overview of candida infections. https://www.uptodate.com/home. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Kauffman CA. Treatment of oropharyngeal and esophageal candidiasis. https://www.uptodate.com/home. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Onishi A, et al. Interventions for the management of esophageal candidiasis in immunocompromised patients. Cochrane Database of Systematic Reviews. http://onlinelibrary.wiley.com/wol1/doi/10.1002/14651858.CD011938/abstract. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Oral candidiasis (yeast infection). American Academy of Oral and Maxillofacial Pathology. http://www.aaomp.bizland.com/public/oral-candidiasis.php. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Oropharyngeal/esophageal candidiasis ("thrush"). Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/fungal/diseases/candidiasis/thrush/. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Buchacz K, Lau B, Jing Y, Bosch R, Abraham AG, Gil MJ, et al. Incidence of AIDS-defining opportunistic infections in a multicohort analysis of HIV-infected persons in the United States and Canada, 2000-2010 external icon. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/pmid/27559122/. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Lynch DP. Oral candidiasis. History, classification, and clinical presentation. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/9522103. Imechukuliwa 10.12.2020
-
Candidiasis. https://www.msdmanuals.com/home/infections/fungal-infections/candidiasis. Imechukuliwa 10.12.2020
