top of page
Imeandikwa na ULY CLINIC
​
Dawa za kuongeza chembe nyekundu za damu mwilini
​
Dawa za kuongeza damu mwilini(dawa za kuongea chembe nyekundu za damu mwilini) Dawa za kutibu upungufu wa damu
​
Upungufu wa damu husabababishwa na Hali au magonjwa mbalimbali Hali inaweza kuwa ukosefu wa vitamins, magonjwa na saratani. Sawa zilizoorodheshwa hapa Chini zinatibu upingufu wa damu Kwa kuongeza uzalishaji wa damu.
​
-
Kuongezewa damu
-
Factor IX
-
Ferrous sulphate
-
Carbonyl iron
-
Ferric citrate
-
Iron dextran
-
Ferric carbomaltose
-
Cyanocobalamine
-
Folic acid
bottom of page