top of page
Imeandikwa na daktari wa ulyclinic
Dawa za kusimamisha uume kwa muda mrefu huwa ni pamoja na
Dawa za kumeza
-
Sildenafil
-
Vardenafil
-
Tadalafil
-
Avanafil
Dawa za kuchoma
Endapo dawa za kumeza hazifanyi kazi ipasavyo basi unaweza kutumia dawa za kuchoma chini ya Ngozi ambazo ni;
-
Alprostadil
-
Phentolamine
-
Papaverine
Tafadhari wasiliana na daktari wako kabla ya kutumia dawa yoyote ile
Imeboreshwa 12.02.2020
bottom of page
