top of page
Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC
Dawa za kutibu Maambukizi ya fungasi kwenye viganja vya mikono na miguu- Tinea Nigra
​
Maambukizi ya fungasi kwenye viganja vya mikono na miguu- Tinea Nigra
Maambukizi haya kwa jina jingine Tinea Nigra huwa hayatokei sana na husababishwa na fungasi mwenye jina la Hortaea werneckii au Stenella araguata. Maambukizi haya hutokea maeneo ya viganja vya mikono na miguu au sehemu nyingine za mwili kama maeneo ya katikati ya vidole.
​
Dawa zinazoweza kutibu maambukizi haya ni;
-
Clotrimazole
-
Ketoconazole
-
Miconazole
-
Ciclopirox
-
Terbinafine
-
Endecyclenic acid
​
Wasiliana na daktari wako kwa uchunguzi na tiba siku zote kabla ya kutumia dawa
​
​
Imeboreshwa 12.02.2020
bottom of page
