top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

 

Dawa za kutibu fangasi wa Kifuani na maeneo ya juu mgongoni- Tinea Versicolor

​

Maambukizi ya Tinea Versicolor ni maambukizi ya fangasi yanayofahamika sana, huwa na sifa ya kuwa na duara ndogo au kubwa mwilini iliyo na rangi iliyokolea kuliko sehemu nyingine au iliyopauka kuliko sehemu nyongine maeneo ya kifuani na juu ya mgongo. Fangasi anayesababisha ugonjwa huu ni Malassezia Globosa, Malassezia sympodialis na Malassezia furfur. Fangasi hawa wanaweza kuonekana kwenye Ngozi isiyougua na Ngozi inayougua.

​

Dawa zinazotumika kutibu tatizo hili ni pamoja na;

  • Daya ya kupaka ya Terbinafine

  • Dawa ya kupaka ya clotrimazle

  • Dawa ya kupaka ya ketoconazole

  • Ciclopirox

  • Butenafine

  • Naftifine

  • Dawaya kupaka ya Econazole

  • Oxiconazole

​

Imeboreshwa 12.2.2020

bottom of page