top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

 

Fangasi wa maeneo ya siri na kinena

 

Fangasi wa maeneo ya siri ni fungasi wanaoathiri Ngozi ya juu ya maeneo ya mapaja na sehemu za siri, maambukizi ya maeneo haya hutokea sana kwa bindamu.

​

Matibabu ya fangasi wa maeneo ya siri na kinena ni pamoja na;

  • Terbinafine

  • Butenafine

  • Dawa ya kupaka ya Clotrimazole

  • Miconazole

  • Ketoconazole

  • Dawa ya kupaka ya Econazole

  • Luliconazole

  • Naftifine

  • Oxiconazole

  • Tolnaftate

  • Ciclopirox

  • Itraconazole

  • Sulconazole

  • Griseofulvin

​

Imeboreshwa 12.02.2020

bottom of page