top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

​

Dawa za kutibu hepatitis B

​

Kirusi cha Hepatitis B ni kirusi kinachosababisha ugonjwa wa homa ya Ini ujulikanao kama homa ya Hepatitis B( au Hepatitis B). Dawa za kutibu hepataitiz B iliyo sugu zimeorodheshwa hapa chini. Soma zaidi kuhusu uonjwa wa Hepatitis B kwa kubonyeza hapa. Unaweza kusoma pia kuhusu dawa husika kwa kuibonyeza dawa hiyo

​

Dawa za kutibu Hepatitis B iliyo sugu ni pamoja na;

​

  • Entecavir

  • Telbivudine

  • Adefovir dipivoxil

  • Tenofovir alafenamide

  • Peginterferon alfa

  • Mchanganyiko wa Elbasvir na grazoprevir

  • Daclatasvir

  • Mchanganyiko wa Ombitasvir, Paritaprevir na Ritonavir

  • Ribavirin

  • Mchanganyiko wa Ledipasvir na sofosbuvir

  • Sofosbuvir

  • Mchanganyiko wa Sofosbuvir na Velpatasivir

  • Mchanganyiko wa Glecaprevir na pibrentasvir

  • Dasabuvir

​

Imeboreshwa, 27.06.2020

​

ULY CLINIC inakushauri siku zote utafute msaada kutoka kwa daktari wako au mtaalamu wa afya kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale yanayodhuru afya yako.

​

Wasiliana na daktari wa ULY clinic kwa ushauri zaidi na Tiba kupitia namba za simu au kubonyeza pata tiba chini ya tovuti hii.

Rejea za mada hii

​

  1. BNF 76 toleo la September march 2018-2019

​

bottom of page