top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

 

Dawa za kuondoa/kupoza maumivu ya jeraha mwilini

​

Dawa hizi zinaweza kupatikana kwenye mfumo wa kidonge, Mafuta au klimu au maji maji. Hivyo tena huweza kutumiwa kwa njia ya kumeza, kuchoma sindano au kupaka sehemu iliyoathirika. Endapo maumivu yapo sehemu moja ya mwili ili kuzuia madhara na endapo unatumia muda mrefu Zaidi ya siku 3 ni vema ukatumia dawa ya kupata ambayo uwepo wake kwenye damu unakuwa mdogo sana kiasi cha kutoleta madhara. Wasiliana na dakitari wako siku zote kabla ya kutumia dawa za maumivu maanahuweza kuleta Matatizo kama, kuferi kwa ini, figo, kuyeyuka na kutokwa na damu kwenye maeneo ya mwili yaliyo wazi mfano puani, mdomoni na maeneo yenye majeraha n.k

  • Paracetamol

  • Diclofenac

  • Ibuprofen

  • Aspirin- dawa hii inatakiwa tumika kwa makini kwa Watoto wadogo chini ya miaka miwili kwa sababu ya madhara yake

 

Imeboreshwa 12.03.2020

bottom of page