top of page

Imeandikwa na dakatari wa ulyclinic

 

Dawa za kutuliza maumivu- kuondoa dalili za UTI

 

Phenazopyridine

​

(hutumika baada ya kula chakula, dozi itumike ndogo kwa wazee na  hutibu maumivu ya mkojo wakati wa kukojoa kwa wagonjwa weye UTI, dawa izitumike Zaidi ya siku mbili, pia inashauriwa itumike pamoja na dawa za kutibu UTI)

​

​

​

Imeboreshwa 12.02.2020

bottom of page