Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dkt. Sospeter M, MD
Dkt. Lugonda B, MD
5 Aprili 2026, 09:27:38

Dawa za maambukizi ya Human papillomavirus (HPV)
Maambukizi ya kirusi cha HPV huwa hayatibiki, madhara yanayoletwa na kirusi huyu huwa yanatibika pamoja. Hata hivyo kuna chanjo ya kinga pia ya kuzuia kupata maambukizi ya kirusi cha HPV inayotolewa kwa wanawake ambao bado hawajaanza kushiriki ngono au wasio na maambukizi ya kirusi huyu.
Madhara ya HPV
Madhara yanayoweza kusababishwa na HPV ni na matibabu yake ni;
Saratani ya koo
Saratani ya shingo ya kizazi
Maoteo sehemu za siri
Unapata wapi taarifa zaidi za maambukizi ya HPV
Kusoma zaidi kuhusu maambukizi ya HPV ingia hapa
Unapata wapi taarifa zaidi kuhusu dawa za kutibu madhara ya HPV?
Ili kusoma kuhusu dawa za kutibu madhara yatokanayo na HPV tafuta dawa unayotaka kwenye boksi la 'Tafuta chochote hapa...' juu ya tovuti hii mfano 'dawa za kutibu saratani ya shingo ya kizazi' n.k
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
5 Aprili 2026, 09:27:38
Rejea za mada hii:-
