Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dkt. Sospeter M, MD
Dkt. Lugonda B, MD
2 Aprili 2026, 16:24:55

Omesk
Omesk ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Omeprazole. Omeprazole ni aina ya dawa katika kundi la vizuia pampu ya protoni inayotumika kutibu magonjwa yanayotokana na uzalishaji mkali wa tindikali tumboni na kucheua tindikali.
Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu omesk?
Soma maelezo ya omesk kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:
Majina mengine ya kibiashara ya omeprazole
Majina mengine yanayoashiria omeprazole ni:
Prilosec
Prilosec OTC
Zegerid
Omesec
Acichek
Acichek (20mg)
Acidus
Aurizol-O (20mg)
Axefire (20mg)
Biocid
Ceso
Cozep (10mg)
Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:
Omesk ni dawa gani?, Omesk ni nini?, Omesk inatibu nini?, Omesk hutibu nini?, Omesk inatibu ugonjwa gani?, Omesk inaruhusiwa kutumika na pombe?, Omesk na pombe, Dawa ya Omesk, mjamzito anaweza tumia Omesk?, Omesk naitumiaje?, Omesk ni dawa ya nini?, Omesk inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Omesk kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Omesk, Omesk ina madhara?, Omesk hukaa muda gani mwilini?
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 16:24:55
Rejea za mada hii:-
