top of page

Dawa

ULY CLINIC inakutahadharisha kuwa matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari yanaweza kuleta madhara makubwa mwilini mwako.

 

Siku zote wasiliana na daktari wako kwa elimu na ushauri wa dawa gani na namna ya kutumia dawa inayoendana na hali yako halisi kama mbadala ya kujichukulia hatua mwenyewe.

​

Bonyeza 'Soma zaidi ' kwenye dawa unayohitaji kuanza kusoma kuhusu dawa hiyo..

Dawa Duphaston

Dawa Duphaston

Duphaston ni dawa ya homoni aina ya progestogen inayotumika kurekebisha matatizo yanayotokana na upungufu wa projesteroni kama hedhi isiyo na mpangilio, maumivu ya hedhi, endometriosis na matatizo ya ujauzito. Hufanya kazi kwa kuimarisha ukuta wa mfuko wa uzazi na kusawazisha homoni bila kusababisha madhara makubwa ya homoni nyingine.

Dawa hydralazine

Dawa hydralazine

Hydralazine ni moja kati ya dawa inayotumika kushusha shinikizo la juu la damu na kuzuia magonjwa kama kiharusi, magonjwa ya moyo na figo. Inafanya kazi kwa kutanua mishipa ya damu

Dawa Ethotoin

Dawa Ethotoin

Ethotoin ni moja kati ya dawa inayotumika kuzuia na kupunguza degedege la toniki kloniki na degedege la kutoonekana.

Dawa Clonazepam

Dawa Clonazepam

Ni dawa jamii ya benzodiazepine inayofanya kazi kwa muda mrefu katika matibabu yamagonjwa ya kutaharuki, wasiwasi na degedege.

Dawa Risedronate

Dawa Risedronate

Risedronic acid ni dawa kizazi cha tatu cha bisphosphonate inayotumika katika matibabu ya baadhi ya matatizo ya udhaifu wa mifupa pamoja na ugonjwa wa paget. Hufanya kazi kwa kuzuia ufyozwaji wa madini kutoka kewnye mifupa.

Hujapata dawa unayotafuta?

 

Endapo hujapata dawa unayotafuta andika katika kiboksi kilichoandikwa  "Tafuta chochote hapa...." juu ya kurasa hii na endapo hujapata katika kiboksi hiko basi wasiliana na wafamasia wa ULY CLINIC maelezo zaidi kuhusu dawa.

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya linki ya 'Mawasiliano yetu' au 'Pata tiba' chini ya tovuti hii

bottom of page