Aina ya huduma unazoweza kupata ukiwa nyumbani mikoani Mjini kutoka kwa Daktari wa ULYCLINIC ni pamoja na
​
Kufanyiwa vipimo vifuatavyo
-
Kipimo cha Masikio
-
Kipimo cha Macho
-
Kipimo cha Mimba
-
Kipimo cha Mkojo
-
Kipimo cha Sukari katika damu
-
Kipimo cha Virusi vya ukimwi
-
Kipimo cha Kaswende
-
Kipimo cha Maambukizi ya virusi vya Hepatitis B na C
-
Kipimo cha Malaria
-
Kipimo cha UTI
-
Kipimo cha Vidonda vya tumbo
-
Kipimo cha Yutrasaundi
-
Na vipimo vingine ambavyo vinaweza kufanyika nyumbani
Uchunguzi wa mwili
-
Uchunguzi mifumo mbalimbali ya mwili
Vipimo ambavyo vinaweza kuchukuliwa na kufanyika Maabara ni
​
-
Vipimo vya damu
-
Vipimo vya Mkojo
Huduma za tiba unazoweza pata ni pamoja na:
-
Huduma ya mazoezi ya viungo
-
Huduma za ushauri na tiba
-
Huduma za kuandikiwa na kupewa dawa kwa njia yoyote ile
-
Huduma za kusafisha vidonda
-
Huduma zingine zinazoweza kufanyika nyumbani na hazijatajwa
Aina za dawa unazoweza kuandikiwa na kupewa na daktari huyu ukiwa nyumbani ni
-
Dawa za presha
-
Dawa za mzio au aleji
-
Dawa za kupunguza maji mwilini
-
Dawa za kutibu maambukizi mbalimbali ya bakteria (antibiotics)
-
Dawa za kutibu minyoo
-
Dawa za kuongeza hamu ya kula
-
Dawa zingine ambazo hazijatajwa hapa
Aina ya dawa anazotumia daktari
-
Dawa za asilia
-
Dawa za asilia na
​
Huduma zingine unazoweza pata ni pamoja na
-
Kushauriwa kuhusu chakula
-
Kushauriwa kuhusu mazoezi
-
Kupangiwa ratiba na aina ya chakula cha kula kulingana na upatikanaji wa chakula kwako
-
Kushauriwa namna ya kujikinga na maradhi uliyonayo au maradhi mengine
Kwa wagonjwa wa kisukari na wenye shinikizo la juu la damu
-
Utashauriwa kuhusu namna ya kutunza miguu yako
-
Utafundishwa namna ya kujikinga na Kupanda kwa sukari mwilini
-
Utafundishwa na kuelekezwanamna ya kutumia mazoezi kudhibiti Kupanda kwa sukari
-
Utafundishwa namna ya kujikinga na madhara ya kisukari
Tiba mwendelezo
-
Daktari ataendeleza tiba endapo mgonjwa atahitajika kufuatiliwa na daktari
​
​
Unahitaji huduma nyumbani? Bonyeza hapa au piga namba za simu chini ya tovuti hii
​
Imeboreshwa 6.03.2020