top of page

Imeandaliwa na madaktari wa ULY-Clinic

 

 

 

Homa ya mbu-malaria

 

Homa ya  mbu/malaria ni ugonjwa unaojulikana sana katika bara la afrika, ni ugonjwa unaoenezwa na mbu na husababishwa na kimelea aitwaye plasmodium. Mgonjwa asipotibiwa malaria huweza kusabisha madhara makubwa mwilini na mwisho wake ni kifo.

 

Malaria inadhuru sana watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitan, watoto hawa huweza kupata dalili kali ukilinganisha na mtu mzima.

 

Imeboreshwa 11/4/2016

Imepitishwa 3/3/2015

bottom of page