Mwandishi:
Mhariri:
ULY CLINIC
Dkt. Benjamin L, MD
6 Aprili 2026, 02:53:06
Albendazole na ujauzito
Imeboreshwa:
Albendazole ni dawa ya kunywa jamii ya benzimidazole yenye uwezo wa kutibu minyoo aina mbalimbali kwa binadamu na wanyama kama vile minyoo 'Tapeworm', 'Taenia solium' na lava 'Echinococcus granulosus'.
Tafiti za wanyama zinaonyesha dawa hii endapo itatumika katika kipindi cha kwanza cha ujauzito husababisha madhaifu ya kuumbaji katika viungo vya siri. Kuna taarifa chache kuhusu matumizi kwa binadamu mjamzito, hivyo matumizi katika kipindi cha kwanza cha ujauzito hayashauriwi mpaka pale taarifa zaidi zitakapopatikana.
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 11:41:58
Rejea za dawa
Mantovani A, Macrì C, Ricciardi C, Stazi AV, Reali W. Effects observed on gestational day 13 in rat embryos exposed to albendazole. Reprod Toxicol. 1995;9:265–73.
de Silva N, Guyatt H, Bundy DAP. Anthelmintics: a comparative review of their clinical pharmacology. Drugs. 1997;53:769–88.
SmithKline Beecham Pharmaceuticals. Product information: Albenza. 2001.
Mantovani A, Macrì C. Effects of albendazole on the early phases of rat organogenesis in vivo: preliminary results (abstract). Teratology. 1992;46:25A.
Horton J. The use of antiprotozoan and anthelmintic drugs during pregnancy and contraindications. J Infect. 1993;26:104–5.
Torlesse H, Hodges M. Anthelmintic treatment and haemoglobin concentrations during pregnancy. Lancet. 2000;356:1083.
Auer H, Kollaritsch H, Juptner J, Aspöck H. Albendazole and pregnancy. Appl Parasitol. 1994;35:146–7.
Cowden J, Engler R, Malison M. Mebendazole and albendazole treatment of geohelminth infections in children and pregnant women. Pediatr Infect Dis J. 2000;19:659–60.
Torlesse H, Hodges M. Albendazole therapy and reduced decline in haemoglobin concentration during pregnancy (Sierra Leone). Trans R Soc Trop Med Hyg. 2001;95:195–201.
Montes H, Sawhney C, Hollingsworth J. Hydatid disease in pregnancy. Am J Gastroenterol. 2002;97:1553–5.
Gyorkos TW, St-Denis K, Boulanger C. Systematic review of exposure to albendazole or mebendazole during pregnancy and effects on maternal and child outcomes, with particular reference to exposure in the first trimester [Internet]. Int J Gynecol Obstet. 2019 [cited 2021 Mar 20]. Available from: https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/31071321/
