Mwandishi:
Dkt. Adolf S, MD
Mhariri:
Dkt. Benjamin L, MD
15 Julai 2022, 18:41:51
Wiki ya 24 ya ujauzito
Nini hutokea kwa mtoto
Hadi kufikia mwisho wa wiki ya 24 mtoto huwa na uzito wa kati ya gramu 600 hadi 700
Ubongo na mfumo wa fahamu huendelea kukua na kuwa imara
Mapafu huwa yamekomaa kwa kiasi kikubwa na endapo akizaliwa katika kipindi hiki anaweza kujaribu kupumua mwenyewe
Ngozi yake huwa na mikunjo na mafuta huendelea kutengenezwa kwenye ngozi
Nini hutokea kwa mama
Mama anaweza kuona ongezeko la miguu yake kutokana na viatu alivyokuwa akivaa awali kutokumtosha
Ngozi ya tumbo kuwa kavu na kupata muwasho kutokana na michirizi
Kuota nywele kwenye maeneo ambayo sio rasmi kama vile kuzunguka kitovu na chuchu
Ngozi ya sehemu za siri na maeneo ya chuchu kuwa nyeusi zaidi
Kukoroma
Majina mengine
Majina mengine yanayoendana na mada hii ni:
Ujauzito wa wiki 24
Mimba ya wiki 24
Wiki 24 ya mimba
Kijusi cha wiki 24
Mwonekano wa ujauzito wa wiki 24
ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako siku zote kabla ya kufanya maamuzi yanayohusisha afya yako
Wasiliana na daktari wa ULY Clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kutumia namba za simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
23 Julai 2023, 19:09:21
Rejea za dawa
American Society for Reproductive Medicine; American College of Obstetricians and Gynecologists' Committee on Gynecologic Practice. Prepregnancy counseling: Committee Opinion No. 762. Fertil Steril. 2019 Jan;111(1):32-42. [PubMed]
Berglund A, et al. Preconception health and care (PHC)-a strategy for improved maternal and child health. Ups J Med Sci. 2016 Nov;121(4):216-221. [PMC free article] [PubMed]
Annadurai K, et al. Preconception care: A pragmatic approach for planned pregnancy. J Res Med Sci. 2017;22:26. [PMC free article] [PubMed]
McClatchey T, et al. Missed opportunities: unidentified genetic risk factors in prenatal care. Prenat Diagn. 2018 Jan;38(1):75-79. [PubMed]
Ko SC, et al. Estimated Annual Perinatal Hepatitis B Virus Infections in the United States, 2000-2009. J Pediatric Infect Dis Soc. 2016 Jun;5(2):114-21. [PubMed]
Tohme RA, et al. Hepatitis B virus infection among pregnant women in Haiti: A cross-sectional serosurvey. J Clin Virol. 2016 Mar;76:66-71. [PMC free article] [PubMed]
Bhavadharini B, et al. Screening and diagnosis of gestational diabetes mellitus - relevance to low and middle income countries. Clin Diabetes Endocrinol. 2016;2:13. [PMC free article] [PubMed]
ACOG Practice Bulletin No. 190 Summary: Gestational Diabetes Mellitus. Obstet Gynecol. 2018 Feb;131(2):406-408. [PubMed]
Rule T, et al. Introducing a new collaborative prenatal clinic model. Int J Gynaecol Obstet. 2019 Mar;144(3):248-251. [PubMed]