top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Wiki ya 36 ya ujauzito

Wiki ya 36 ya ujauzito

Viungo vyote vya mtoto huwa vimekoma na mtoto huweza kuishi nje ya mwili wa mama, mama anaweza kupata uchungu muda wowote ule.

Wiki ya 35 ya ujauzito

Wiki ya 35 ya ujauzito

Mtoto huendela kuongezeka uzito na mwili wake kujiandaa kuishi nje ya tumbo la uzazi, mama huendelea kuongezeka uzito na kuhisi dalili na maudhi mbali mbali.

Wiki ya 34 ya ujauzito

Wiki ya 34 ya ujauzito

Kucheza kwa mtoto hupungua kwa kuwa mtoto huwa mkubwa kiasi cha kuchukua nafasi kubwa katika mji wa mimba.

Wiki ya 33 za ujauzito

Wiki ya 33 za ujauzito

Mtoto hulala kwa muda mrefu na kupata ndoto namapafu yake huwa kwenye hatua za mwisho za ukuaji.

Wiki ya 32 ya ujauzito

Wiki ya 32 ya ujauzito

Uwezo wa kupumua kwa kuvita majimaji ya amniotiki huongezeka licha ya upumuaji halisi kuanza mara tu baada ya kuzaliwa kwa mtoto.

bottom of page