top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Wiki ya 31 ya ujauzito

Wiki ya 31 ya ujauzito

Kichwa cha moto huanza kuwa na mweonekano mzuri na nywele laini zilizofunika mwili huanza kupotea.

Wiki ya 30 ya ujauzito

Wiki ya 30 ya ujauzito

Huanza kuona na kutofautisha vitu vinavyomzunguka, japo muda mwingi huwa amefumba macho

Wiki ya 29 ya ujauzito

Wiki ya 29 ya ujauzito

Mtoto hukua na kucheza zaidi kwa kuwa nafasi huwa kubwa katika mji wa uzazi na uzito wa mama huongezeka zaidi.

Wiki ya 28 ya ujauzito

Wiki ya 28 ya ujauzito

Wiki hii ni mwanzo wa kipindi cha tatu cha ujauzito, mtoto huwa na mabadiliko makubwa kwenye ubongo na kutanguliza kichwa.

Wiki ya 27 za ujauzito

Wiki ya 27 za ujauzito

Wiki hii ni mwisho wa kipindi cha pili cha ujauzito, uzito wa mtoto huongezeka zaidi na mfumo wake wa fahammu hukomaa. Mwili wa mama pia huanza kujiandaa kwa ajili ya leba.

bottom of page