top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Wiki ya 26 ya ujauzito

Wiki ya 26 ya ujauzito

Mtoto huendelea kukua na kuongezeka uzito, kwa mtoto wa kiume korodani zake huwa tayari zimeshuka kuingia kwenye kifuko cha korodani.

Wiki ya 25 ya ujauzito

Wiki ya 25 ya ujauzito

Macho huanza kufumbuka na uono kuimarika, mapafu huzalisha ute utakaomuwezesha kupumua baada ya kuzaliwa.

Wiki ya 24 ya ujauzito

Wiki ya 24 ya ujauzito

Ubongo na mfumo wa fahamu huendelea kukua na kuwa imara hadi kufikia mwisho wa wiki ya 24 mtoto huwa na uzito kati ya gramu 600 hadi 700.

Wiki ya 23 ya ujauzito

Wiki ya 23 ya ujauzito

Mtoto huwa na uzito wa gramu 450 na uzito kati ya sentimeta 28 hadi 36, pia huweza kuhisi sauti na mijongeo kutoka nje na kuonesha muitikio, mfano anaweza kuamka anaposikia kelele.

Wiki ya 22 ya ujauzito

Wiki ya 22 ya ujauzito

Huwa na ukubwa wa papai na uwezo wake wa kusikia huongezeka zaidi na anaweza kutambua sauti ya mama.

bottom of page