top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Dalili za hatari baada ya kujifungua

Dalili za hatari baada ya kujifungua

Baadhi ya dalili za hatari baada ya kujifungua ni zinapaswa kupatiwa ufumbuzi mara moja bila kusubiria mfano kuloanisha pedi zaidi ya moja ndani ya dakika tano, kupumua kwa shida, kupatwa na degedege n.k.

Dalili za hatari kwa mjamzito

Dalili za hatari kwa mjamzito

Baadhi ya dalili za hatari kwa mjamzito zinazopaswa kufanyiwa uchunguzi haraka ni mtoto kupunguza au kuacha cheza tumboni, kutokwa na damu ukeni, maumivu makali ya tumbo, kuvimba miguu na uso, homa na degedege.

Umuhimu wa mjamzito kuhudhuria kliniki

Umuhimu wa mjamzito kuhudhuria kliniki

Kuhudhuria kliniki mapema zaidi baada ya kupata ujauzito huboresha afya ya mama na mtoto kupitia elimu na tiba mbalimbali zinazotolewa kliniki.

Mabadiliko ya mwili baada ya kujifungua

Mabadiliko ya mwili baada ya kujifungua

Mara baada ya kujifungua mama hupata mabadiliko ya kawaida katika mwili wake kwenye majimaji yanayotoka ukeni, mji wa mimba, matiti, saikolojia na kibofu cha mkojo na kisaikolojia.

Damu nyingi kwa mjamzito

Damu nyingi kwa mjamzito

Kuwa na damu nyingi kutokana na sababu za kurithi wakati wa ujauzito ni tatizo linalotokea kwa nadra sana na huambatana na matokeo mabaya ya ujauzito, ambapo ni asilimia 40 tu ya wajawazito hupata watoto hai.

bottom of page