Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Mangwella S, MD
17 Februari 2026, 04:17:56
Faida za Ndizi: Faida za Kiafya
Ndizi ikiwa mbivu huwa na kiwango kikubwa cha wanga ila kiwango cha vitu vingine huwa hakitofautiani sana ikiwa mbivu ama ikiwa haija iva.
Ndizi huwa na virutubishi na madini Kali , vitamin B6, nyuzi nyuzi, Vitamin C na sukari
Mabadiliko kidogo hutokea ndizi inapokuwa inaiva ambapo kiwango cha virutubisho vinavyoitwa antoxidant vinavyolinda mtu dhidi ya saratani na magonjwa ya moyo huongezeka.
Hivyo ukila ndizi mbivu unaweza kukosa baadhi ya virutubisho.
Kwa ujumla ndizi huwa na madini mengi.
Imeandikwa;
25 Oktoba 2021, 20:06:49
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
