Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R C.O
Dkt. Sospeter M M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022

Carambola
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Carambola
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Carambola
Kemikali muhimu zipatikanazo kwenye Tunda la Carambola ni Chalcones na aurones
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Carambola
Nishati = 52kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Sodiamu= 1mg
Sukari = 10g
Nyuzilishe = 2.4g
Protini = 0.3g
Kalishiamu= 6mg
Potashiamu =107mg
Madini chuma = 0.1mg
Madini yanayopatikana kwenye Tunda la Carambola lenye Gramu 100
Chuma = 0.1mg
Kalishiamu = 6mg
Magineziamu = 5mg
Fosifolasi = 11mg
Potashiamu = 107
Sodiamu = 1mg
Floraidi = 3.3mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Tunda la Carambola lenye gramu 100
Vitamin A = 3mcg
Vitamini B1 =7mg
Vitamini B2 = 0.026mg
Vitamini B3 = 0.091mg
Vitamini B5 = 0.061mg
Vitamini B6 =0.041mg
Vitamini B9 = 3mcg
Vitamini C = 4.6mg
Vitamini E = 0.18mg
Vitamini K = 2.2mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa tunda la Carambola
Kongeza kinga ya mwili
Kushusha sukari
Kuzuia shinikizo la juu la Damu
Kuzuia Kansa za aina mbalimbali.
Kuimarisha ini
Kulainisha choo
Kupuguza uzito usiotakiwa mwilii
Angalizo
Tunda la Carambola linatakiwa lisitumike kwa watu wenye matatizo ya figo, kwani linaeza pelekea kufeli kwa figo, degedege,kuchanganyikiwa, kupooza kwa mwili na hata kifo.
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:58:08
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Nutrition Value of carambola. https://www.nutritionvalue.org/Carambola%2C_raw%2C_%28starfruit%29_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 29 December 2021.
Muthu N, Lee SY, Phua KK, Bhore SJ. Nutritional, Medicinal and Toxicological Attributes of Star-Fruits (Averrhoa carambola L.): A Review. Bioinformation. 2016 Dec 22;12(12):420-424. doi: 10.6026/97320630012420. PMID: 28405126; PMCID: PMC5357571.
Stumpf, M. A. M. , et al. (2020). Acute kidney injury with neurological features: Beware of the star fruit and its caramboxin. Indian Journal of Nephrology, 30, 42–46. 10.4103/ijn.IJN_53_19.