Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, C.O
Dkt. Sospeter M, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022

Cheri
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Cheri
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Cheri
Cheri inakemikali muhimu iitwayo Amygdalin
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Cheri Zenye gramu 100
Nishati = 63kcl
Jumla ya mafuta = 0.2g
Sukari = 13g
Kabohaidreti = 16g
Nyuzilishe = 2.1g
Protini = 1.1g
Maji = 82.25g
Madini yanayopatikana kwenye Cheri zenye Gramu 100
Madini chuma = 0.36mg
Kalishiamu = 13mg
Magineziamu = 11mg
Kopa = 0.06mg
Fosifolasi = 21mg
Potashiamu = 222mg
Zinki = 0.7mg
Manganaizi = 0.07mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Cheri zenye gramu 100
Vitamin A = 3mcg
Vitamini B1 = 0.027mg
Vitamini B2 = 0.033mg
Vitamini B3 = 0.154mg
Vitamini B5 = 0.199mg
Vitamini B6 =0.049mg
Vitamini B9 = 4mcg
Vitamini C = 7mg
Vitamini E = 0.07mg
Vitamini K = 2.1mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Cheri
Kupunguza athari ya kupatwa na ugonjwa Wa kiharusi
Kuongeza hamu ya kula
Kuimarisha kiwango cha Sukari mwilini na Kuzuia ugonjwa wa kisukari
Kuimarisha Afya ya Moyo ,mishipa ya damu na kuzuia shinikizo la juu LA Damu.
Kuimarisha mfumo Wa mmeng'enyo Wa chakula na kuzuia magonjwa yanashambulia mfumo huo
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:57:45
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Nutritional value cherries. https://www.nutritionvalue.org/Cherries%2C_raw%2C_sweet_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 18 December 2021.
Kelley DS, Adkins Y, Laugero KD. A Review of the Health Benefits of Cherries. Nutrients. 2018 Mar 17;10(3):368. doi: 10.3390/nu10030368. PMID: 29562604; PMCID: PMC5872786.
Ataie-Jafari A., Hosseini S., Karimi A., Pajouhi M. Effects of Sour Cherry Juic on Blood Glucose and Some Cardiovascular Risk Factors Improvements in Diabetic Women. Nutr. Food Sci. 2008;38:355–360. doi: 10.1108/00346650810891414.