top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Dkt. Peter R, CO

Dkt. Sospter M, MD

Jumatatu, 21 Machi 2022

Kiazi kitamu
Kiazi kitamu

Kiazi kitamu ni zao la mizizi litokanalo na mimea inayopatikana kwenye familia ya Convolvulaceae. Kiazi kitamu kinafaida nyingi kwa afya pia ni rahisi kupatikana.


Viinilishe vinavyopatikana kwenye Kiazi Kitamu


 • Mafuta

 • Madini

 • Sukari

 • Nyuzilishe

 • Protini

 • Vitamini

 • Kabohaidreti

 • Maji


Kemikali muhimu kutoka kwenye Kiazi Kitamu


Kiazi kitamu kin kemikali muhimu ambayo ni phenolic Acid


Viinilishe vinavyopatikana kwenye KiazI Kitamu chenye gramu 100


 • Nishati = 76kcal

 • Mafuta = 0.1g

 • Maji = 80.3g

 • Kabohaidreti = 18g

 • Sukari = 5.7g

 • Nyuzilishe = 2.5g

 • Protini = 1.4g


Vitamini zinazopatikana kwenye Kiazi chenye gramu 100


 • Vitamini A = 787mcg

 • Vitamini B1 = 0.56mg

 • Vitamini B2 = 0.47mg

 • Vitamini B3 = 0.538mg

 • Viatmini B5 = 0.581mg

 • Vitamini B6 =0.165mg

 • Vitamini B9 = 6mcg

 • Vitamini C =12.8mg

 • Vitamini E =0.94mg

 • Vitamini K = 2.1mg


Madini yanayopatikana kwenye Kiazi chenye gramu 100


 • Kalishiamu = 27mg

 • Kopa = 0.09mg

 • Madini Chuma = 0.72mg

 • Magineziamu = 18mg

 • Manganaizi = 0.266mg

 • Fosifolasi = 32mg

 • Potashiamu = 230mg

 • Sodiamu = 27mg

 • Zinki = 0.2mg


Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Viazi Vitamu


 • Huimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

 • Huzuia aina mbalimbali za kansa

 • Huboresha afya ya macho na kuongeza uwezo wa kuona

 • Huimarisha utendaji kazi na kuongeza ufanisi wa ubongo

 • Huimarisha kinga ya mwili

 • Huimarisha utendaji kazi wa kongosho , kuweka msawazo wa sukari kwenye damu na kuzuia ugonjwa wa kisukari

 • Hurutubisha ngozi

Imeboreshwa,
21 Machi 2022 16:19:07
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).

 

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
 

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii

 1. Sweet_potato . https://www.nutritionvalue.org/Sweet_potato%2C_without_skin%2C_boiled%2C_cooked_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.

 2. Brown, C. R. (2005). Antioxidants in potato. American Journal of Potato Research, 82(2), 163–172. 10.1007/BF02853654. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6593376/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.

 3. Wang S, Nie S, Zhu F. Chemical constituents and health effects of sweet potato. Food Res Int. 2016 Nov;89(Pt 1):90-116. doi: 10.1016/j.foodres.2016.08.032. Epub 2016 Aug 27. PMID: 28460992. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/28460992/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.

 4. Bovell-Benjamin AC. Sweet potato: a review of its past, present, and future role in human nutrition. Adv Food Nutr Res. 2007;52:1-59. doi: 10.1016/S1043-4526(06)52001-7. PMID: 17425943. https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/17425943/. Imechukuliwa tarehe 19 January 2022.

bottom of page