Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Peter R, C.O
Dkt. Benjamin L, M.D
Jumamosi, 22 Januari 2022
Kraniberi
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Kraniberi
Mafuta
Kabohaidreti
Nyuzilishe
Protini
Sukari
Madini
Vitamini
Kemikali muhimu inayopatikana kwenye Kraniberi
Kraniberi ina kemikali muhimu ziitwazo Benzoic Acid, Ursolic Acid na Anthocyanins
Viinilishe vinavyopatikana kwenye Kraniberi
Nishati = 46kcl
Jumla ya mafuta = 0.1g
Kabohaidreti = 12mg
Sukari = 4.3g
Nyuzilishe = 3.6g
Protini = 0.5g
Maji = 87.32g
Madini yanayopatikana kwenye Kraniberi yenye Gramu 100
Madini chuma = 0.23mg
Kalishiamu = 8mg
Magineziamu = 6mg
Manganaizi = 0.267mg
Fosifolasi = 11mg
Potashiamu = 80mg
Sodiamu = 2mg
Kopa = 0.06mg
Vitamini zinazopatikana kwenye Kraniberi zenye gramu 100
Vitamin A = 3mcg
Vitamini B1 = 0.012mg
Vitamini B2 = 0.020mg
Vitamini B3 = 0.101mg
Vitamini B5 = 0.295mg
Vitamini B6 =0.057mg
Vitamini B9 = 1mcg
Vitamini C = 14mg
Vitamini E = 1.32mg
Vitamini K = 5mcg
Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Kraniberi
Kupunguza kasi ya kuzeeka haraka.
Kuimarisha Afya ya moyo pamoja na mishipa ya damu hivyo kusaidia kuzuia shinikizo la juu la Damu.
Kuzuia na kutibu magonjwa yanayoshambulia njia ya mkojo(UTI)
kuimarisha mfumo Wa mmeng'enyo Wa chakula pamoja na kuzuia uzalianaji wa wadudu (bacteria) wanaohusika/Kusababisha ugonjwa Wa vidonda vya tumbo(PUD).
Kuimarisha kinga ya mwili.
Kusaidia mfumo mzima Wa uzazi kwa wanawake hasa wale waliofikisha umri Wa kutoona Siku zao za kila mwezi,
Kuimarisha kongosho na kuzuia ugonjwa Wa kisukari.
Imeboreshwa,
28 Januari 2022 18:57:16
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Liu Y, Black MA, Caron L, Camesano TA. Role of cranberry juice on molecular-scale surface characteristics and adhesion behavior of Escherichia coli. Biotechnol Bioeng. 2006 Feb 5;93(2):297-305. doi: 10.1002/bit.20675. PMID: 16142789.
Cranberries nutritional value. https://www.nutritionvalue.org/Cranberries%2C_raw_nutritional_value.html?size=100+g. Imechukuliwa tarehe 21 December 2021.
Apostolidis E, Kwon YI, Shetty K. Potential of cranberry-based herbal synergies for diabetes and hypertension management. Asia Pac J Clin Nutr. 2006;15:433–41.