Mwandishi:
Mhariri:
Dkt. Mangwela S, MD
Dkt. Peter A, MD
Jumamosi, 27 Novemba 2021
Maziwa ya ng'ombe
Licha ya kuwa na virutubishi 22 muhimu, maziwa ya ng'ombe ni chakula maalumu kwa ajili ya ndama. Kumpatia mtoto mdogo maziya ya ng'ombe husabababisha apate upungufu wa damu wakati watu wa wazima hupata ugonjwa wa mifupa dhaifu.
Virutubishi ndani ya maziwa ya ng'ombe
Kwa kila mililita 100 za maziwa ya ng'ombe, zina virutubishi vifuatavyo;
Mafuta -- 3.35g
Mafuta yaliyoshamiri -- 1.923g
Lehemu -- 10mg
Sodium -- 41mg
Wanga -- 4.66g
Nyuzilishe --0g
Sukari -- 5.42g
Protini -- 3.32g
Vitamin D – 0mg
Calcium --117mg
Chuma --0.03mg
Potassium -- 147mg
Vitamin A -- 29mcg
Vitamin C -- 0mg
Nishati 62Kalori
Glasi moja ya mililita 237
Mafuta kwa jumla-- 7.93g
Mafuta yaliyoshamiri -- 4.551g
Lehemu -- 24mg
Sodium -- 98mg
Wanga -- 11.03g
Nyuzilishe -- 0g
Sukari -- 12.83g
Protein -- 7.86g
Calcium -- 276mg
Chuma -- 0.07mg
Potassium -- 349mg
Vitamin A -- 68mcg
Vitamin C -- 0mg
Vitamin D – hayana
Wapi utapata maelezo zaidi
Pata maelezo zaidi katika makala zifuatazo
Imeboreshwa,
20 Julai 2023 06:52:59
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii
Rejea za mada hii
Karl Michaëlsson, et al. Milk intake and risk of mortality and fractures in women and men: cohort studies. BMJ 2014; 349 doi: https://doi.org/10.1136/bmj.g6015. Iemchukuliwa 27.11.2021
Thorning, et al. “Milk and dairy products: good or bad for human health? An assessment of the totality of scientific evidence.” Food & nutrition research vol. 60 32527. 22 Nov. 2016, doi:10.3402/fnr.v60.32527
Fatsecret. 1 Cup. Whole Milk. https://www.fatsecret.com/calories-nutrition/generic/milk-cows-fluid-whole?portionid=729&portionamount=1.000. Imechukuliwa 27.11.2021
Fatsecret . ½ pint cows milk. https://www.fatsecret.com/calories-nutrition/generic/milk-cows-fluid-whole?portionid=869&portionamount=1.000. Imechukuliwa 27.11.2021
FAO. https://www.fao.org/3/y5022e/y5022e04.htm. Imechukuliwa 27.11.2021