top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Peter R, CO

Jumapili, 27 Machi 2022

Mbaazi
Mbaazi

Mbaazi ni mbegu ndogo ndogo za kijani zinazoliwa zinazopatikana kwenye kundi la Pisum. Mbaazi ni nafaka amabzo pia hutumika kama mboga baada ya kuandaliwa vizuru tayari kwa matumizi.


Viinilishe vinavyopatikana kwenye Mbaazi


 • Mafuta

 • Madini

 • Sukari

 • Nyuzilishe

 • Protini

 • Vitamini

 • Kabohaidreti

 • Maji


Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Mbaazi


Kemikali muhimu zinazopatikana kwenye Choroko ni Phylic Acid na Lectins


Viinilishe vinavyopatikana kwenye Mbaazi zenye gramu 100


 • Nishati = 81kcal

 • Mafuta = 0.4g

 • Maji = 78.86g

 • Kabohaidreti = 14g

 • Sukari = 5.7g

 • Nyuzilishe = 5.7g

 • Protini = 5.4g


Vitamini zinazopatikana kwenye Mbaazi zenye gramu 100


 • Vitamini A = 38mcg

 • Vitamini B1 = 0.266mg

 • Vitamini B2 = 0.132mg

 • Vitamini B3 = 2.090mg

 • Viatmini B5 = 0.104mg

 • Vitamini B6 = 0.169mg

 • Vitamini B9 = 65mcg

 • Vitamini C =40mg

 • Vitamini E =0.13mg

 • Vitamini K = 24.8mg


Madini yanayopatikana kwenye Mbaazi zenye gramu 100


 • Kalishiamu = 25mg

 • Kopa = 0.18mg

 • Madini Chuma = 1.47mg

 • Magineziamu = 33mg

 • Manganaizi = 0.410mg

 • Fosifolasi = 108mg

 • Potashiamu = 244mg

 • Sodiamu = 5mg

 • Zinki = 1.24mg


Faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa Mbaazi


 • Kuimarisha kuongeza nguvu kwenye misuli

 • Kuimarisha mifupa

 • Kuweka msawazo wa sukari kwenye damu.

 • Kusaidia kwenye mmemng`enyo wa chakula

 • Kuzuia athari za kupatwa na magonjwa yasiyombukiza mfano kansa, kisukari na ugonjwa wa moyo

 • Kuweka masawazo wa homoni kwenye damu hivyo kusaidia kuzuia tatizo la homoni


Imeboreshwa,
27 Machi 2022 15:28:19
Bofya hapa kusoma zaidi kuhusu namna ya kuandaa vyakula mbalimbali vinavyoweza kukukinga dhidi ya magonjwa ya shinikizo la damu la juu na Kisukari, pia kuupa mwili wako uwezo wa kudhibiti magonjwa ya kisukari na shinikizo la juu la damu(presha).

 

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba zaidi kabla ya kuchukua hatua yoyote ile ya kiafya baada ya kusoma makala hii.
 

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kutumia namba za simu au kubonyeza link ya Pata Tiba chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii

bottom of page